Tukio hili lilitokea huko China baada ya binti wa miaka 19 kugundua kuwa mchumba wake alikua ana mke na mtoto wa miaka 10. Askari pamoja na mfanyakazi wa zima moto walimshauri asijirushe chini pale alipokua akijiandaa kuruka toka gorofa la 3.
Bahati nzuri watu waliweka puto kubwa lenye upepo ndani sehemu ya chini ambapo walihisi binti huyo angeweza kudondokea. Binti huyo aliamua kujirusha chini na kutua juu ya puto hilo na hakuumia. Haikujulikana kama aliliona puto hilo au alijirusha tu bila kuliona.
No comments:
Post a Comment