Wednesday, May 22, 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MAPOKEZI YA MWILI WA MTUNZI MASHUHURI CHINUA ACHEBE

 
Marehemu Chinua Achebe anatarajiwa kuagwa Jumatano ambapo wananchi,wafanyakazi wa Serikali na wanafunzi wote wameruhisiwa kwenda kuaga.Na kwa mujibu wa mitandao ya Nigeria marehemu anatarajiwa kuzikwa alhamisi ambapo viongozi mbalimbali wa nchini humo wakiongozwa na Raisi wa Nigeria ,Maraisi kutoka nchi 4, wanatarajiwa kuhudhuria mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment