Taarifa ya kifo cha Mama mzazi wa Msanii Profesa Jay toka kwa DJ Choka
Profesa Jay kushoto akiwa na marehemu mama yake enzi za uhai wake.
Hii ni taarifa iliyotolewa na DJ Choka kupitia ukurasa wake wa
twitter kuhusu kifo cha mama mzazi wa msanii wa hiphop Joseph Haule
a.k.a Profesa J. Hii ni taarifa ya awali. Tulonge itaendelea kuwajuza
juu ya hili.
Pia katika ukurasa wa facebook wa Black
Rhyno ambaye ni mdogo wake Profesa J aliweka post kuhusu kifo cha mama
yao kama uonavyo hapo chini.
No comments:
Post a Comment