Thursday, August 15, 2013

JAMANI NJAA MBYA!: HEBU MCHEKI HUYU JAMAA ALIEJIFANYA TRAFIK ILI KUJIPATIA KIPATO JIJINI DAR ES SALAAM, AMEBAMBWA LAIVU LEO MAENEO YA KINYEREZI... ILIKUA NI SWAGA YA KUTAFUTA MKWANJA!!!!

 Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa leo akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.
Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.

No comments:

Post a Comment