Tuesday, December 16, 2014

mwanamke,mwanaume na ubikira

nini maana ya kua bikira

mwanamke
  • Kua bikira ina maanisha kua, uke wake unakua na kiukuta kwa juu ambacho kinakua kimeziba njia ya kuingilia ndani ya uke, na si kwamba inaziba kabisa, kuna kua na nafasi ndogo sana ambayo inaruhusu hata damu ya kipindi cha hedhi kupita. na uke kua bikira ina maanisha kwamba haujawahi kuguswa na uume wa mwanaume wala kitu kingine ambacho kitapasua huu ukuta unaoitwa 'hymen'.  mara nyingi watu hua wanaamini kwamba mwanamke mpaka atoe bikira ni lazima akutane na mwanaume na amfungue njia ya uke, ni sawa hiyo njia ni asilimia kubwa lakini kama mwanamke akikaa sana bila kufanya mapenzi mpaka akifikia miaka kabla ya 25-28, ule ukuta hua unatoka wenyewe kwakua jinsi miaka inavyoongezeka ndivyo jinsi unavyozohofika mwishoe kutoka kabisa, wengi hua wanaamini kua mwanamke anavyotolewa bikira hua kuna damu nyingi inamwagika kwakua anakua amepasuliwa nyama hiyo inayoziba uke, ni kweli damu hua inatoka lakini kwa wengine hua inatoka kwa mbali sana kiasi kwamba unaweza ukabisha kua huyu mwanamke ni bikira. na pia haimaanishi kwamba mwanamke bikira uke wake unakua unabana sana kwakua haujawahi kutanuliwa, hapana, wengine wanaweza kua ndo mara yao ya kwanza kuguswa uke zao lakini wakaonekana wa kawaida kama mtu ambaye ameshafanywa mara nyingi, kwanini inakua hivi, kwa utafiti inasemekana kwamba, kila uke una uimara wake wa misuli yake, hivyo uke wenye misuli imara hua unakua unabana zaidi, na huyu mwanamke mwenye uke wenye misuli imara hua wanafika vileleni mara kwa mara kila watapokutana na mwanaume, hii ni kutokana na hiyo misuli kubana sehemu zake za viungo vya hisia ambavyo vitamfanya uke wake ubane vizuri uume na yeye kufurahia tendo hilo la ndoa mwishoe kufika kileleni mara kwa mara. kama una demu wako na kipindi unamtoa bikira yake hukupenda jinsi uke wake ulivyokua sio tight, basi ujue demu wako hana misuli imara zaidi ya kufanya uke uwe imara.  swali: kwanini wasichana wengine ambao wametombwa sana hua wanakua na uke zimebana? na ukienda kufanya nae mapenzi, unaweza sema huyu hua hatombwi sana?         jibu lake hilo hapo juu, kama mwanamke atakua na misuli iliyoimara ya uke, basi uke wake utakua unabana hata kama atakua kila siku anatombwa ilimradi apate masaa kadhaa ya kupumzika.
uke

sehemu ya kumsisimua mwanamke, kumfikisha kileleni

kuta ya uke (hymen),uke zenye nazo na zile ambazo hazina au zilizoanza kuvunjika

mwanaume             
  • utaweza kumgundua mwanaume kua ni bikira? nivigumu kumjua mwanaume kama ni bikira kwa kumwangalia maumbile yake, yeye hana vitu ambavyo vitahitajika kutobolea kipindi anafanya mapenzi, hivyo inakua ngumu sana. je kuna njia za kugundua kua huyu mwanaume ni bikira?, ndio zipo lakini sio aslimia 100 za uhakika lakini hizi sababu zifuatazo zinaweza kukufanya umtambue mwanaume bikira:
  1. kama akiwa anaona aibu kukushika sehemu nyeti,  ukimuona mwanaume anaogopa kumshika mwanamke sehemu hizi nyeti kipindi labda mnataka kufanya mapenzi au kuchezeana, ni ishara kubwa sana ya kwamba huyo mwanaume ni bikira, ingawa sio uhakika sana lakini hii ni ishara kubwa sana ya kua ni bikira
  2. anatahangaika jinsi ya kuanza kufanya, ukimuona mwanaume anahangaika jinsi ya kukuanza kwenye kufanya mapenzi na anakua anasita sita, kuna uweze kano mkubwa kua ni bikira, wanaume waliozoea kufanya au hata ambaye amefanya mara moja hua ni rahisi kuanza na kumuandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa, lakini ambaye ni bikira  itakua ni ngumu sana na ataishia kusita sita.
  3. anabusu vibaya (ananyonya mate vibaya), mwanaume ambaye ni bikira hua anakua hawezi kubusu vizuri kipindi mnachezeana, anaweza akawa anakubusu kwa haraka sana au anakubusu kwa uoga uoga,  mwanaume ambaye sio bikira hua anajua kubusu vizuri, ingawa wapo wengine ambao sio mabikira na hawajui kubusu vizuri, lakini mabikira wengi hawajui kubusu
  4. anakua anaomba ruhusa ya kufanya kitu, mwanaume ambaye ni bikira hua anakua hajiamini kile anachokifanya, akitaka kumbusu mwanamke utakuta anaomba ruhusa, au akitaka kumuingilia kimaumbile hua anajikuta anaomba ruhusa, wengi hua hujifanya kama ni kawaida yao ili asionekane ndo mara ya kwanza kufanya hivyo, hua mda huo wote wanapoomba wanajifikiria jinsi gani atakavyomuingia mwanamke ukeni. ujue huyu ni bikira
  5. anakojoa mapema sana,  wengi wao tendo la kwanza hua linakua na mawazo mengi kichwani ambayo yanampelekea kufikiria jinsi gani atafanya tendo hili na amridhishe mwanamke, hapo hapo pia, hua wanasisimka mapema sana, wengine wakishika tu maziwa ya mwanamke anaweza akakojoa, au mwingine akishikishwa uke wa mwanamke anakojoa, au mwingine akiwa anataka kuingia tu ukeni anakojoa, au mwingine akishaingiza tu uume ukeni anakojoa. wanaume waliozoea kufanya tendo hili hua ni rahisi kuhimili jinsi anavyosisimka na hivyo kumfanya akae mda mrefu kabla hajafika kileleni, kitu ambacho kwa mabikira hua ni vigumu.
natumaini mpaka hapa, utakua umeelewa vizuri maana ya kua bikira kwa pande zote mbili yaani mwanaume na mwanamke. kama unamawazo unaweza kuyatuma pia. kama ulikua hujui basi leo ndo umejua.

No comments:

Post a Comment