tilia mkazo jambo hii
vijana wengi siku hizi imekua shida kitandani, yaani wanaume hasa hasa
kwakua wao ndio wanaotakiwa kudindisha na kuingiza uume wao kwenye uke,
kuna kipindi unaweza kumshangaa mwanaume yupo na mwanamke kitandani
tayari kwa tendo la ndoa lakini mwanaume utakuta uume wake haujasimama
ipasavyo kitu ambacho kinafanya ashindwe kufanya tendo hilo la ndoa na
mwisho wa siku kumuudhi mwanamke. au mwingine utakuta kaanza vizuri na
katikati ya mchezo uume wake unaishiwa nguvu na kulegea hivyo kuharibu
tendo la ndoa. na mwingine utakuta akishafanya mara moja yaani
akishakojoa mara moja ni hawezi kabisa kuendelea hata afanyaje kwakua
uume wake hauta simama labda kwa baada ya mda sana. ya nini kuhangaika
na kutojiamini kila ukiwa na mwanamke kwa kuhofia kutomridhisha au
kujiaibisha. hivi vitu hua vinasababishwa na vitu vifuatavyo:
- kula vyakula vilaini ambavyo vinaaminika kua ni vya kike sana sana {visivyo na nguvu}, mfano chips. utakuta vijana wengi wa siku hizi wanashindia chips mchana,usiku siku ya kwanza ,wiki na miezi. sasa kama wewe mtoto wa kiume na unashindia chips kama mwanamke unategemea nini kitakutokea ukienda kitandani na mwanamke, sitashangaa ukashindwa kudindisha ukiwa nae chumbani. wakina dada wanapenda chips na sio hatari wakila hizo kwao kwakua miili yao haihitaji nguvu sana na chips hua zinawasaidia kwenye kung'arisha maumbile yao pia. kwa mwanamue inabidi uache kushindia chips kila siku sio vizuri kwa afya yako na uwezo wako kitandani..
- kupiga nyeto sana. hii pia sio nzuri sana, si kwamba inaleta ugonjwa fulani au inakuletea mapungufu ya kiungo fulani, hapana, ila punyeto inatabia ya kukuzoesha mazingira fulani ambayo bila hayo huwezi kufanya chochote kingine, mfano, labda umejizoesha kupiga nyeto kila siku, na kila unapopiga punyeto ni lazima uangalie picha za wasichana waliovaa skirt bila chupi za kwenye mitandao, na wanaotiwa labda mkunduni, na usipowaona hao uume wako hausimami, hii inakuja kua mbaya pale unapokutana na mwanamke chumbani, uume wako unashindwa kudinda kisa umeuzoesha uwe unadinda katika mazingira yale ambayo hua unapiga nyeto, mwisho wa siku unaboronga na kuharibu siku ya mwanamke, sikatai kwamba ukishaingiza uume wako ndani ya uke wake utafanya vyema tu, ila mwanzoni kabla hujafanikiwa kuudindisha utapata kazi sana. hivyo basi, vijana msifanye sana punyeto, tunza hiyo nguvu na uende umtie demu wako, jitahidi kupunguza muda wa kupiga nyeto na amishia huo mda kwa demu wako taratibu na ikiwezekana uache kabisa.
- kujiweka kikike, jinsi utandawazi unavyokua ndo jinsi mabadiliko ya vijana wengi yanavyotokea, utakuta baadhi ya vijana wanataka kuwa wanawake, utakuta mwingine akiwa nyumbani mwenyewe, anaenda kuchukua nguo za dada yake na kuzivaa na kujifanya mwanamke na kutaka kufanya vile vitu mwanamke hua anafanya ikiwemo kutiwa, sasa hii ni mbaya kwenye ubongo wake, anakua anaufanya ubongo uwe unapenda mazingira ya kua mwanamke hivyo inaweza kuhatarisha uanaume wake na kumfanya asiwe na matamanio ya kumtia mwanamke na mwishowe kumfanya awe anajisikia raha zaidi pale anapokua anatiwa yeye sasa, hii ni mbaya sana, kwasababu wewe umezaliwa mwanaume kuna sababu ya wewe kua mwanaume, usijaribu kumpinga mungu jinsi alivyokuumba, unafikiri kua mwanamke kuna raha, wanawake wana shida na mambo mengi sana na nina amini ukivishwa uhusika wa kua mwanamke hata siku moja utakimbia wewe. hivyo basi kwa hawa wanaume wanataka kujifanya wanawake waache wajirudi. boresha ubongo wako kiume na sio kikike, hii itakusaidia kukuza hisia za kiume zaidi.
- baadhi ya madawa makali, hii inaweza changia lakini mda mwingine muhusika asijue kwamba anajiumiza hisia zake za kiume, mfano umepewa dawa zenye nguvu ambazo kiundani zina madhara katika mfumo wako wa kujamiiana na hivyo kupunguza hisia za mapenzi kabisa, hii kwa kawaida hua inatibika labda baada ya mda ukishamaliza dawa zako hizo
- utumiaji wa pombe kali sana, pombe ni kitu vijana wengi wanapenda kunywa sana, lakini madhara yake ni makubwa sana kiafya ikiwemo kuharibu ini lako mwenyewe, na pia pombe huchangia kwenye upotevu wa hamu ya kufanya mapenzi, ingawa wengi wanaona pombe ni kinywaji cha kuondolea aibu, sawa kinaondoa aibu, lakini utumiaji uliopitiliza wa pombe ni mbaya kwa afya ya mfumo wa uzazi wako, baada ya mda utaanza kuona hauna hamu na mapenzi na mwishowe ukawa hutaki kufanya hivyo vitu na ukawa mpenzi na pombe tu.
kama wewe ni mwanaume zingatia hivi vitu kwa afya yako, na kama wewe ni mwanamke zingatia hivi vitu kwa ajili ya bwana wako,
cha kusisitizia sana ni hiki kikubwa KULA VYAKULA VYENYE NGUVU NA VYENYE KURUTUBISHA KAMA UGALI WA MUHOGO/MTAMA ,MBOGA ZA MAJANI, KARANGA, MAHARAGE, ASALI. EPUKA KUSHINDIA VYAKULA VILAINI MARA KWA MARA KAMA CHIPS.
No comments:
Post a Comment