leo katika africanmishe.blogspot.com tuna kuletea muonekano wa mahakama
ya mwanzo ya kibaha maili moja ambayo serekali imeshindwa ata
kuikarabati japo ni mahakama iliyo zaidi ya miaka 20 je ni kweli
serikali aiyaoni aya majengo au kunani?
hiyo apo picha ni askari aliye leta watuhumiwa kwenye mahakama iyo ya mwanzo ya kibaha maili moja
nahiyo apo picha ni choo cha mahakama hiyo ambacho akifanani kabisa na hadhi ya mahakama hiyo
No comments:
Post a Comment