Monday, August 27, 2012

PASUA MBAVU

jamaa alimuuliza mpenzi wake  mimi na choo bora nani..?dem alimjibu bora wewe..jamaa akajibu si kweli mbona ukienda chooni unavua chupi mwenyewe tena haraka haraka lakini ukija kwangu mbaka nikubembeleze weeeeeeeeeeee hadi nitoe chozi....

No comments:

Post a Comment